Soma shairi hili, kisha uyajibu maswali yanayofuata:
9. 1. Dunia yanishangaza, kwa mikiki na myujiza,
Yajaa sana kuwaza, ama nitajiumiza,
Kwa maovu kuigiza, nimejigeuza pweza,
Mola naomba ya jaza, nanuia kuwa mwema.